Msaada wa kiufundi juu ya Blackberry Bold 9000

Msaada wa kiufundi juu ya Blackberry Bold 9000

The August

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
1,079
Reaction score
2,027
Hello Technicians!

Mimi ni 'old school' kidogo na niko natumia simu hii bold 9000. Sasa nina changamoto kadhaa.

1. Nilikua nikitumia kifurushi cha Vodacom Social nilikua nina access net bila shida. Changamoto ikawa App World. Nikaamua kujiunga Kifurushi cha Absolute Blackberry Internet Service BIS. sasa tangu nimejiunga net haifanyi kazi kwa maana haionyeshi kabisa kuwa service inafanya kazi. Je hili nalitatua vip?

2. App world siipati..

3. Je ipo namna ya kuiwezesha whatsapp kufanya kazi?
1544265968745.jpeg
1544266010973.jpeg
1544266277672.jpeg
 
watengenezaji wenyewe wamesha nyoosha mikono sasa watumiaji mbona mnakua viburi sana? hahaha

turud kwenye mada... Binafsi sina majawabu ngoja wataalamu waje vuta subira mkuu
 
watengenezaji wenyewe wamesha nyoosha mikono sasa watumiaji mbona mnakua viburi sana? hahaha

turud kwenye mada... Binafsi sina majawabu ngoja wataalamu waje vuta subira mkuu
hahahaha, simu za kingese sana izi
 
WhatsApp imeshapigwa pini kwa BB.
Ila Unaweza kulazimisha zile BB ambazo zinasupport android mfano Z10........
Ok. Hakuna namna ambayo unaweza ilazimisha pia hii?
 
Back
Top Bottom