Msaada wa Blackberry 9930 bold kuconnect internet tafadharini

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Wapendwa nimejikakamua na kununua simu aina ya Blackberry 9930 Bold wiki moja iliyopita kwa mtu iko kwenye hali nzuri kabisa.
Sasa nilipoinunua ikabidi niweke line yangu ya Tigo ili niweze kununua kifurushi nianze kujirusha kwenye ma BBM na kuunganisha email niwe ofisini muda wowote na sehemu yoyote.
Hicho kitu kimenichukua zaidi ya siku tano hakuna connection inyofanyika ila Tigo wao wanakula hela kama kawa..nimejiunga kwa kutumia line mbili nikidhani kuwa huwenda line yakwanza ni 2G na siyo 3G naamini unawafahamu watu wa Tigo walivyo na longolongo nyingi.
Baada ya kuwatafuta watalaamu tumekuja kugundua kuwa simu hiyo inakubali country code ya South Africa tu kwa nchi za Africa basiii ila iNDIA INAKUBALI NA KWINGINE KOTE .
Je kuna utalaamu wakuweza kufanikisha manuva yakubadilisha ili iweze kusoma code ya TZ...
Wakuu msaada wenu utanisaidia japo nilikuwa nataka nimrudishie aliyeniuzia na kashakubali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom