msaada wa kitaaluma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa kitaaluma

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kamikaze, Feb 5, 2011.

 1. kamikaze

  kamikaze JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  The Great thinkers natumai wote mko poa. Naombeni msaada wenu kuhusu hili, kuna ndugu yangu amepata scholarship nje kwenda kusoma degree ya library science,but kuna details ambazo alipenda hasa kuzifahamu kuhusu hii course.
  1.Mtu akisomea hii course anaweza kupata kazi kama zipi?
  2.Japokuwa ajira za bongo ni pinde kuzipata je hii course ina market bongo?
  3.Mtu mwenye bachelor degree katika hii course kama akiajiriwa mshahara wake unarange kwenye shs ngapi?
  4.Kutokana na mabadiliko ya science na technology,je nini future ya hii course kwa tz?
  5.Ni nini hasa umuhimu wa librarians?
  6.Je kufanya kazi sehemu kama maktaba kuna haja ya kosemea,zaidi ya kupanga vitabu what else?
  Nitashukuru sana kwa msaada wenu wa ushauri mzuri kwani namaamini kabisa kuna wadau wa jf wanaoijua hii field vizuri kwa maana naamini jf ndio suluhisho la mambo yote.
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  kimantiki soko la ajira lipo kubwa kwa sababu academic institutions zinaongezeka. Mabadiliko ya IT, nafikiri hayawezi kuondoa umuhimu wa library, ingawa namna ya ufanyaji kazi itakuwa virtual zaidi
   
Loading...