PROF MSANGI
New Member
- Apr 30, 2018
- 2
- 0
Habari! DVD yangu moja imegoma kusoma/haisomi. Nifanye nini kuisoma tena?
haya. NitayazingatiaKuna solution ya kusafishia DVD kwa kutumia sponge waliokuwekea. Jaribu kuisafisha huenda ni alama za vidole au uchafu mwingine. Lakini unaweza pia kutumia kitambaa safi chenye unyevu ikiwa ni njia ya kienyeji kidogo lakini muda mwingine inafanya kazi. Ila kama hiyo disc imekaa sana na kuna uchafu
uliogandia sana inaweza kuwa vigumu kuisafisha na inabidi kutafuta nyingine.