heavyload JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 925 Reaction score 528 Oct 2, 2019 #1 He ni sawa polisi kukuita kituoni huku ukiwa umeshawaambia kesi iliyofunguliwa waipeleke mahakamani? Je unaweza kwenda mahakamani kwanza kuomba utaratibu, Naomba ufafanuzi kwenye kwa yeyote mwenye uelewa
He ni sawa polisi kukuita kituoni huku ukiwa umeshawaambia kesi iliyofunguliwa waipeleke mahakamani? Je unaweza kwenda mahakamani kwanza kuomba utaratibu, Naomba ufafanuzi kwenye kwa yeyote mwenye uelewa
B BEHOLD JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 5,103 Reaction score 10,787 Oct 2, 2019 #2 Nenda kama umeitwa ukiwa na mwanasheria wako. Usipoenda watakuja kukusaidia kwenda!