unlucky
Senior Member
- Aug 9, 2011
- 199
- 56
Habari zenu ndugi zangu naomba. Msaada wenu mtu wa kunisaidia kwenda mbele kwenye serekali
Mimi ni mtanzania nina. Watoto watatu ambao nimezaa na mume ambae ni foregnor wa nchi ya pkistan na ambae nishaachana nae sio mume wangu tena leo.
Miaka minne sasa kawachukua wtt huko kwao leo miezi mitano na kaoa mke mwingine sasa wale watoto wako hali mbaya sana wananyanyaswa sana wanataka kurudi huyu bwana hataki kuwarudisha kisa eti mimi ninafanya kazi anataka mie niache kazi ili arudishe wtt mie sina mtu wa kuniangalia nahangaika ili niendelee kuishi na watoto wangu pia nataka niwe nao nifnyeje naomba mnisaidie