Msaada wa kisheria

unlucky

Senior Member
Aug 9, 2011
199
56
Habari zenu ndugi zangu naomba. Msaada wenu mtu wa kunisaidia kwenda mbele kwenye serekali
Mimi ni mtanzania nina. Watoto watatu ambao nimezaa na mume ambae ni foregnor wa nchi ya pkistan na ambae nishaachana nae sio mume wangu tena leo.

Miaka minne sasa kawachukua wtt huko kwao leo miezi mitano na kaoa mke mwingine sasa wale watoto wako hali mbaya sana wananyanyaswa sana wanataka kurudi huyu bwana hataki kuwarudisha kisa eti mimi ninafanya kazi anataka mie niache kazi ili arudishe wtt mie sina mtu wa kuniangalia nahangaika ili niendelee kuishi na watoto wangu pia nataka niwe nao nifnyeje naomba mnisaidie
 
Uchoyo tu Aliyekwambia uipeleke Pakistan nani hata Zero IQ hukumuona ?

Pole sana kwaiyo ukikubali kuacha kazi atakulea wewe na watoto,
Kama ni hivyo kubali kuacha kazi na akirudisha watoto unaomba kazi sehemu nyingine..
Yani ukawa unampanulia tu mpakistani mtoto wa 1 wa2 wa 3 wewe utakua mkenya wewe
 
Usimkebehi..maisha ya ndoa hayana formula
 
Kwanza kabisa usikubari kuacha kazi pili nenda ustaw wa jamii mtasikilizwa na muafaka mtaupata

Mume wake na watoto wapo Pakistan huko ustawi wa jamii watafanya nini..

Mama ongea vizuri na baba watoto wako,jifanye mjinga ili umiliki watoto wako
 
Uchoyo tu Aliyekwambia uipeleke Pakistan nani hata Zero IQ hukumuona ?

Pole sana kwaiyo ukikubali kuacha kazi atakulea wewe na watoto,
Kama ni hivyo kubali kuacha kazi na akirudisha watoto unaomba kazi sehemu nyingine..
Yani ukawa unampanulia tu mpakistani mtoto wa 1 wa2 wa 3 wewe utakua mkenya wewe
Dooh...hakika unapofungua dirisha upate hewa safi....na chafu pia zinaingia...pole sana mleta mada Mungu akutie nguvu...
 
Unayesema nimempanulia angalia lugha yako kwani unapokuwa mke wa mtu si ndoa halali sikuenda nje kuwapanulia hapa nimekuja kuomba msaada sio kusikia hayo unayoongea n huyu si mume wngu ni x sasa tulishaana mda miaka minne
 
Uchoyo tu Aliyekwambia uipeleke Pakistan nani hata Zero IQ hukumuona ?

Pole sana kwaiyo ukikubali kuacha kazi atakulea wewe na watoto,
Kama ni hivyo kubali kuacha kazi na akirudisha watoto unaomba kazi sehemu nyingine..
Yani ukawa unampanulia tu mpakistani mtoto wa 1 wa2 wa 3 wewe utakua mkenya wewe
Kuwa na heshima. Wakati mwengine ficha ujinga wako.
 
Kwanza pole,
Pili tujue mazingira yaliyopelekea kuwachukua ni yapi? Maana tunasikiliza upande wako,,

Tatu unafanya kazi gani? Wenda kazi yako ni hatarishi kwa maadili ya watoto, pia ratiba za kazi yako zaweza kuwa si nzuri kuweza kuwalea watoto,

Nne je yeye anatoa sababu zipi za msingi?
Na vipi unaweza kuwapa elimu bora na huduma muhimu za msingi?

Ujue kwamba mtoto ni wa wote baba na mama, hivyo ni haki yake pia kuwa nao japo nawe inabidi wakutembeleee

Kuhusu kunyanyasa tunajua waarabu ni wanyanyasaji, lakin waweza kuta unabeba imagination kuwa wanateswa kumbe siyo,

Britannica
 
Kwanza kabisa mie nilikuwa mama w nyumbani tangia kaniacha hakunisaidia na wala hakunipa chochote unaweza ukaangalia historia yangu ipo hapa jamii forum naishi na mama kaka ndo ananisaidia na wanangu huyu bwana alikuwa hawapi gharama z chakula wala mavazi shule peke yake alikuwa analipa mpk vitabu mimi
La pili nimehangaika sina mtu anaenisuport kimaisha nikatafuta kazi nimepata kazi yangu ni ya masaa manane tu kama receptionist nimeanza leo miezi miwili
Ya tatu aliwachukua watoto kusema kama nitawasomesha huko na halafu baada ya miezi sita kama wtt hawajapenda huko nitawarudisha lakini sasa kabadilika ana mke huko ambae anawanyanyasa wtt pamoja na yeye kama kuna sehemu ya women rights naomba nifahamishwe niende kwa ajili ya msaada
 
Uchoyo tu Aliyekwambia uipeleke Pakistan nani hata Zero IQ hukumuona ?

Pole sana kwaiyo ukikubali kuacha kazi atakulea wewe na watoto,
Kama ni hivyo kubali kuacha kazi na akirudisha watoto unaomba kazi sehemu nyingine..
Yani ukawa unampanulia tu mpakistani mtoto wa 1 wa2 wa 3 wewe utakua mkenya wewe
eti ata mi hajaniona kwelii
 
Unayesema nimempanulia angalia lugha yako kwani unapokuwa mke wa mtu si ndoa halali sikuenda nje kuwapanulia hapa nimekuja kuomba msaada sio kusikia hayo unayoongea n huyu si mume wngu ni x sasa tulishaana mda miaka minne
Wewe uko wapi sasa hivi na kazi unafanya wapi?
 
Nimejua kw sababu watoto mama angu amewapigia simu na mie nimeonge nao n mpaka bibi yao wamemwambia
 
Kwanza kabisa mie nilikuwa mama w nyumbani tangia kaniacha hakunisaidia na wala hakunipa chochote unaweza ukaangalia historia yangu ipo hapa jamii forum naishi na mama kaka ndo ananisaidia na wanangu huyu bwana alikuwa hawapi gharama z chakula wala mavazi shule peke yake alikuwa analipa mpk vitabu mimi
La pili nimehangaika sina mtu anaenisuport kimaisha nikatafuta kazi nimepata kazi yangu ni ya masaa manane tu kama receptionist nimeanza leo miezi miwili
Ya tatu aliwachukua watoto kusema kama nitawasomesha huko na halafu baada ya miezi sita kama wtt hawajapenda huko nitawarudisha lakini sasa kabadilika ana mke huko ambae anawanyanyasa wtt pamoja na yeye kama kuna sehemu ya women rights naomba nifahamishwe niende kwa ajili ya msaada
Nimekuelewa ila ungedadavua zaid
 
Kesi yako ngumu sana ilikufanya iwe rahisi unahitaji hisani ya mumeo kukuletea watoto ,ukitaka ufungue kese kuweza kufatilia kisheria upate hao watoto ni mlolongo mrefu sana.

1. Ukiweza ufungue hiyo kesi huko kwao kwa njia ya kawaida ustawi wa jamii nchini kwao na uthibitisho wa mazingira magumu wanayoishi watoto.

2. ufungue hapa uanze ustawi then wizara ihusike na ubalozi , mlolongo mrefu sana na kufanikiwa ni asilimia 5% kutokana na nchi yetu na mienendo ya watumishi.

3. Njia ya kwanza ndio bora na nafuu kwako ila ujipange sana au kuwa mpole upate hisani ya baba akuletee watoto.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom