Msaada wa kisheria unahitajika

Msaada wa kisheria unahitajika

Mkyamise

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
526
Reaction score
677
Naombeni wataalam wa sheria mnisaidie. Kuna hospitali moja nimewahi kwenda kupata matibabu.

Sasa imekuwa kero kila uchao. Natumiwa sms kila wakati kama matangazo ya huduma zao. Naombeni ushauri ninataka kuwashtaki kwa usumbufu wanaonisababishia.
 
Naombeni wataalam wa sheria mnisaidie. Kuna hospitali moja nimewahi kwenda kupata matibabu. Sasa imekuwa kero kila uchao. Natumiwa sms kila wakati kama matangazo ya huduma zao. Naombeni ushauri ninataka kuwashtaki kwa usumbufu wanaonisababishia.
Sheria ipi,si utu-block tu, I guess it is mkula hospital,na nitaendelea kutumia
 
Wanajua mgonjwa wao hujapona vizuri unatakiwa upewe rufaa uende Milembe..!!
 
Back
Top Bottom