Msaada wa kisheria tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kisheria tafadhali

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kapuku83, Oct 1, 2012.

 1. K

  Kapuku83 Senior Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wadau naomba msaada wa kisheria juu ya mtu anapokutuhumu mbele ya jamihi kwa kashfa kama ya wizi,ubadhirifu na uzembe wakati hana ushahidi,tuhuma hizo zimetolewa kwa maneno!je nikitaka kuanza kumchukulia hatua za kisheria nianze wapi!
   
 2. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Anza kwa kumuandikia barua shuruti(Demand Notice), ukiainisha jinsi alivyokukashifu na jinsi ulivyoathirika na kuaibika mbele ya jamii na uoneshe hasara uliyopata kutokana na kashfa izo barua shuruti mwishoni ioneshe unataka akufanyie nini ili kurudisha hadhi yako kama awali na umpe muda maalumu wa kufanya hivyo kabra hujamfungulia kesi ya madai(defamation case) mahakama kuu.
   
 3. K

  Kapuku83 Senior Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana mkuu,ngoja nimtangulizie hiyo barua ili nione reaction yake
   
Loading...