Msaada wa kisheria, nataka kusajili jina la Biashara

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
1,351
1,282
Wakuu Mimi binafsi ndio kwanza najitafuta na kila anayefanya kazi ana ndoto za kuwa mtu mkubwa mbeleni huko ndivyo ilivyo na kwangu.

Mimi nataka nisajili jina la biashara mbeleni kuwa hata kampuni Mungu akijalia ila nataka nitumie TIN number ya Mama yangu mimi nisimame kama mrithi.

Je, kuna vitu nitakosa kisheria kwa baadae labda mikopo na baadhi ya kuingia mikataba ikitokea?
 
Ukiandika jina la mtu mwingine unakuwa umejifunga baadhi ya vitu mpaka unshirikishe mwenye jina mfano usajili kupeleka documents kama kitambulisho n.k vitakulazimu uchukue vya mama

Baadhi ya contract inalazimu yeye asaini na sio wewe.
 
Wakuu Mimi binafsi ndio kwanza najitafuta na kila anayefanya kazi ana ndoto za kuwa mtu mkubwa mbeleni huko ndivyo ilivyo na kwangu.

Mimi nataka nisajili jina la biashara mbeleni kuwa hata kampuni Mungu akijalia ila nataka nitumie TIN number ya Mama yangu mimi nisimame kama mrithi.

Je, kuna vitu nitakosa kisheria kwa baadae labda mikopo na baadhi ya kuingia mikataba ikitokea?
Kwa nini usitumie TIN NAMBA yako? Si kwa ajoli ya biashara yako?alafu unajua Kama utakuwa mrithi?mbona bado mapema kujitafuta katika mirathi Boss,pambana bana kivyako utatoboa hiyo mirathi ikitokea huko mbele fresh,unless mhusika awe ameshafariki,na Kama amefariki basi sheria zitakuzuia kutumia majina take katika biashara mpya
 
Hizo mali natafuta mwenyew mkuu nataka zisimame kwa jina la mama nionekane kama mrithi kisheria ili kukwema hizi Sheria za kumkingia kifua mwanamke
 
Kusajili jina la biashara wala hakuhitaji liwe ni lako. Mfano unaitwa Juma unaweza sajili biashara yako ukaita Mazengo ice cream. Hivyo unaweza tu kusajili kwa jina la mama yako. TIN kwenye jina la biashara sio takwa kivile kama ilivyo kwenye usajili wa kampuni
 
Wakuu Mimi binafsi ndio kwanza najitafuta na kila anayefanya kazi ana ndoto za kuwa mtu mkubwa mbeleni huko ndivyo ilivyo na kwangu.

Mimi nataka nisajili jina la biashara mbeleni kuwa hata kampuni Mungu akijalia ila nataka nitumie TIN number ya Mama yangu mimi nisimame kama mrithi.

Je, kuna vitu nitakosa kisheria kwa baadae labda mikopo na baadhi ya kuingia mikataba ikitokea?
Nenda google
 
Back
Top Bottom