Msaada wa kisheria: Nataka kuacha kazi serikalini

Bugasarai

Member
Oct 8, 2017
74
240
Habari wakuu, mimi ni mtumishi serikalini idara ya afya, nimeamua kuacha kazi na kujiajiri binafsi. Naomba kujua utatatibu wa kisheria nawezaje kuacha kazi na nisisumbuliwe na mwajiri wangu ambaye ni serikali? , pia nina mkopo NMB umebaki mwaka mmoja na nusu kumalizika je nifanyeje kuhusu hili maana mdhamini wangu ni DED . Nawasilisha
 
Umejipanga lakini sio unaacha kazi ujiajiri huku bado hata mradi wako hujaanza kutoa matundà utamui bure tu huku unaweza hata kufirisikaa angalia mabo yakikaa vizuri ndio uache kazi uje ujiajiri sasa uwe unaomba omba likizo unaangalia kwanza mradi wako unaendaje

Kuna watu walifukizwa vyeti feki wameshindwa hata kujiajiri Mkuh
 
Habari wakuu, mimi ni mtumishi serikalini idara ya afya, nimeamua kuacha kazi na kujiajiri binafsi. Naomba kujua utatatibu wa kisheria nawezaje kuacha kazi na nisisumbuliwe na mwajiri wangu ambaye ni serikali? , pia nina mkopo NMB umebaki mwaka mmoja na nusu kumalizika je nifanyeje kuhusu hili maana mdhamini wangu ni DED . Nawasilisha
Ukishaacha kazi huo mkopo wa watu umejipanga kuulipaje?? Kumbuka kuwa DED hawajibiki kulipa hilo deni.
 
Habari wakuu, mimi ni mtumishi serikalini idara ya afya, nimeamua kuacha kazi na kujiajiri binafsi. Naomba kujua utatatibu wa kisheria nawezaje kuacha kazi na nisisumbuliwe na mwajiri wangu ambaye ni serikali? , pia nina mkopo NMB umebaki mwaka mmoja na nusu kumalizika je nifanyeje kuhusu hili maana mdhamini wangu ni DED . Nawasilisha
Ded ni mdhamini tu ukiacha kazi NMB hawana issue na wewe tena
ndo maana kuna insurance wakati wa kuprocess
note: hutasumbuliwa na lolote, mtaani pagumu sana uwe umejipanga kiakili kabla ya yote.
ipo siku unaweza tamani hata mshaahra wa meneja wa bar
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom