1.Viwanja vyote havina hati vina mikataba ya manunuzi ambayo ndo hiyo jamaa yake aliiba akaenda kuuzia1. Kiwanja kina hati au mkataba wa manunuzi?
2.Mashahidi wakati wa kukinunua ni akina nani?
3.Document zilikuwa na majina gani?
Polisi wanamzungusha inaonekana jamaa yake ana ushawishi upande huo maana walimwambia alitakiwa awe na copy ya mikataba ya mauziano ndo wampe loss reportAanzie wizarani ila atoe taarifa ya loss report polisi kama viwanja vina hati mtu mwingine hawezi kuuza bila idhini ya mwenye hati Sheria zipo za kumlinda mwenye hati
Acha ujanja ujanja kijana ,hapo juu umesema ulikuwa shahidi wa rafiki yako wakati ananunua viwanja na ukawa shahidi wa jamaa aliyemuibia wakati anauza, kwa nini uwe shahidi wa mtu ambaye unajua sio chake?Nashukuru kwa mchango wako lkn hauko sahihi
Kama shahidi wakati wa ununuzi basi nendeni mahakamani kwa kusakdiana na serikali za mtaa1.Viwanja vyote havina hati vina mikataba ya manunuzi ambayo ndo hiyo jamaa yake aliiba akaenda kuuzia
2.Miongoni mwa mashahidi wakati anakinunua ni mimi kwa viwanja vyote viwili na huyo jamaa yake alieviuza
3.Document zilikua na majina ya dogo ila aliuza muuzaji akisema kuwa amepewa ruhusa na mmiliki na akafake kwa kupiga simu akiwa na viongozi wa mtaa
Umeelewa vibaya nilikua shahidi wakati dogo anananua mashahidi nilikua ni mimi na huyo jamaaa yake nadhani hii itakua mara ya mwisho kukujibu maana naona mimi na wewe tunapishana uelewa wa mamboAcha ujanja ujanja kijana ,hapo juu umesema ulikuwa shahidi wa rafiki yako wakati ananunua viwanja na ukawa shahidi wa jamaa aliyemuibia wakati anauza, kwa nini uwe shahidi wa mtu ambaye unajua sio chake?
ndugu mbona umekaza fuvu tu, kama humuamini si upite kushoto!Acha ujanja ujanja kijana ,hapo juu umesema ulikuwa shahidi wa rafiki yako wakati ananunua viwanja na ukawa shahidi wa jamaa aliyemuibia wakati anauza, kwa nini uwe shahidi wa mtu ambaye unajua sio chake?
Acha kuhangaika na mleta mada ni yeye ndiye aliyemuibia mshikaji anatafuta huruma ya sheria. Nilichogundua ni kwamba huyo anayemuita mdogo wake ni mtu aliyemuamini na kumshirikisha Mambo mengi mpaka kufikia kuniamini Kama mdhamini wakati anannunua hivyo kwa maana nyingine huyo ndo mtu mwenye taarifa kamili ya uwepo wa document hizo na sehemu gani zipohuyo rafikiye aliingiaje ndani(nyumbani)kwa mdogo wako na kuiba documents za hivyo Viwanja??alivunja mlango??alitumia funguo bandia au ilikuaje??jibu kwanza hilo tujue maana kama Jinai inabidi ianzie hapo kwamba documents muuzaji alizipata vipi??