msaada wa kisheria kuhusu haki za mshtakiwa

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,381
4,648
Natanguliza shukrani.
Naitaji kujua haki za mshtakiwa toka anapokamatwa mpaka anafikishwa mahakamani
Naitaji kujua pamoja na chanzo cha hiyo haki utakayonijulisha ni ya chanzo kipi kama ni katiba ni ibara ipi au kanuni ipi?
Nawakilisha hoja.
 
Fika Standard Attorneys (tafuta wako wapi) kuna vijana vichwa sana watakusaidia. Hawahitaji hela yako, ni watu pro-bono. Nondo sana vile vijamaa. Au wapigie +255 22 2461795. Umenielewa?
:spy:
 
Mtuhumiwa yeyote au kwa lugha yako we umesema ni mshitaki ana
1. HAKI YA KUSILIZWA(right to be head)- refer to Constistitional of the United Republic of Tanzania
2. HAKI YA KUPEWA MDHAMANA(right to bailed)- Refer PENAL CODE, Evidence Act, Criminal proceeding Act, and Constitituon.
3. HAKI YA KUWAKILISHWA(Represented in the court of law )- Refer Constitution.

Endelea mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom