msaada wa kisheria juu ya MIRATHI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa kisheria juu ya MIRATHI

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by itahwa, Apr 9, 2012.

 1. i

  itahwa Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  NAHITAJI MSAADA WA KISHERIA JUU MIRATHI YA WAZAZI WANGU, Baba yangu alikuwa ni daktari na mama yangu muuguzi(Nurse midwife) wa hospitali ya serikali pale AMANA! walifariki nikiwa mdogo sana, walifariki mwaka 1993, toka wakati huo hakuna mirathi iliyofunguliwa na sasa nimekuwa mtu mzima, nimeajiriwa na watu na jamaa mbalimbali wamekuwa wakiniambia dai stahiki ya wazazi wako, kutoka mifuko yao ya pensheni,kazini na sehemu mbalimbali! sijui lolote na sijui hata nianzie wapi, mwenye uelewa wowote anisaidie, na pia niambie kama ni still possible kuweza kupata hizi stahiki! nitakuwa tayari kukutana na mwanasheria au mtu yoyote anayeweza kunisaidia!
   
 2. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  uko wapi kwasasa?
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  wazazi wako walikufa lini? Ulizaliwa lini? Haya ni muhimu to adress the issue. Caution: Every litigation has a time limit. kabla huja institute any claim make sure you adress properly the issue of limitation!
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Pole sana. Nimejisikia uchungu sana niliposoma hii post. Sasa hebu onana kwanza na wanasheria,, tena nenda kwa hivyo vituo vinavyota msaada wa kisheria watakushauri kwa mfano kama unaishi Dar es Salaam kuna kituo kinaitwa NOLA, kipo jirani na ilipokuwa au ilipo Marie stopes hospital Mwenge, kuna TAMWA (sijui walipo but ni famous ni rahisi kuagiziwa), TAWLA (wapo Ilala Sharif Shamba, na wengine wengi. Nina hakika hawa watakuwa na masaada kabla hujawatumiwa hawa ambao kuwaona tu ni lazima ulipe consultation feee na wengie tena nina evidence hata kama kesi haiwezekani anakuambia inawezekana ili mradi tu apate hela, very unethical. Again pole sana kwa kupoteza wazazi wako ukiwa mdogo, so painful. I lost my father but was in Form II those years and mom was in the village. So kwa kuwa baba alikuwa anajitafutia maisha mjini na kututunza tena vizuri but alipofariki hakuna hata ndugu alimwongoza mama ili afuatilie mali zake au hata madeni yake!! Tunahisi baba mdogo alifuatilia akatia mfukoni but naye hakudumu muda alifariki. Lakini tumekuwa na tunajitegemea wote and we are incharge of our very old mama.
   
Loading...