Msaada wa kisaikolojia unahitajika

Huyo hayupo serious plus hajitambui ndio maana anakuletea mapicha picha. Piga chini tafuta binti asiye na mtoto safari ianze upya.

Unabembeleza mtu ana mtoto na bado anakuletea umalaya unacheka nae?!
 
Hapo unateswa na nyege na sio upendo. Kaa chini tulia, fanya mazoezi, kuwa bize
 
Tafuta hela acha kulia .. mwanamke amepiga hesabu huna Cha kupoteza kwako
 
Inaonekana ndiyo mara yako ya kwanza kuumizwa moyo 😂 KAA KWA KUTULIA
 
Ingia twitter muangalie mkenya anaitwa @amerix huwa anaongelea Masculinity au youtube muangalie mkenya anaitwa Andrew Kibe au jamaa muingereza anaitwa Andrew Tate jamaa hawa ni pro-men wanaongelea jinsi mwanaume unapaswa kutake control ya maisha na haswa mahusiano na wanawake. Hutakiwi ku-simp yaani kuwa limbukeni wa wanawake/mapenzi.

Ushauri kama unataka kuendelea kutafuna, endelea nae ukijua mpo wengi, ila kama una malengo nae achana nae kabisa maana ni kama Mungu amekuonyesha ukweli wake alivyo na huyo hajaanza leo.

Unapaswa kuchukua maamuzi na kusonga mbele kila kitu kipo wazi. Be a man.
 
Ni kweli mkuu,
Halafu huu mji kila mahali nakwenda nakumbuka karibia sehemu zote nilishapita nae yaani. It was a very funny days.
Ila nashukuru wakuu humu wengi wamenipa nguvu nafeel healing now
Nyongeza tu
1. Hata siku moja usije ku fake ku move on jipe muda usifute namba, sijui picha sijui video just zihamishe sehemu mpaka itakapofika muda sahihi wa kuona hazina tena nafasi kwenye mawazo na moyo wako.

2. Ukijiskia kulia we jiachie tu mzee moyo utafikia hatua utamtoa tu .

3. Usipende kukaa peke yako jichanganye tafuta kitu kita ku keep busy .

all in all first break ups huwa ni ngumu mno kwa asilimia kubwa ya watu kati ya 100 ni mmoja labda wawili ndo huwa wanaweza kuona kawaida .

Ugulia pole mkuu
 
Thank you[emoji120]
Point taken
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…