Msaada wa kisaikolojia unahitajika

You're a fvckn loser! Stop wasting time arguing with your ugly girlfriend! , and pay attention to things that matters the most...!

Hizi mentality za "women scarcity" zitawau ninyi beta males...!



Hadi sasa 2023 , tupo wa Tz 64 mil. Na katika idadi hii nusu ni wanawake , lakini wewe Tz nzima umechaguwa kumlilia huyo Malayq wako ... what .....???????

Mwanaume anayeshindwa kudhibiti hisia zake ni hatari!

Achana naye usije leta balaa kwenye jamii.

#emotionalsupport
 
Asee inaumiza sana ila kwanza Mwambie mungu Asnte kwakila jambo !!Huwez jua mungu amekuepusha na nin?Ruhusu aondoke ktk maisha yako ili wako aweze kuja …delete kila kitu anza safr yako upya utampata wakwako atakae kuoenda kwa dhat[emoji1488]
 
Siku hizi wanaume tumepungua sana! Yani hio mechi ya kiporo inakufanya uwaze? Mana hadi hapo mpo Demu 1-0 wewe... una upungufu gani kijana?? Hebu acha kutupotezea muda
 

Sahihi
 
Move on move on bro, hao single mother ni watu wasiojielewa kabisa ilinitokea hiyo mwezi wa 9 naelewa maumivu yake but jipe moyo yatapita.. huyo mwanamke pasua kichwa yeye kila kwa mwanaume anaenda na mtoto wake
Hilo liliniuma, mpk nikauliza huyo mtoto anajifunza nn. Kila mtu babake kweli??
 
Nashukuru Bro
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…