Msaada wa kisaikolojia unahitajika

Piga chini hiyo pisi ...haijielewi atakutafutia Pressure & Heart Attack bure
 
Single mothers siyo watu wakuu ni mashetan
Narudia tena ni mashetan Kam ujawai ingia mausiano na single mothers ujaribuuu ata bureeeeee😭😭😭😭😭🤣
 
Kweli wajinga hawaishi hivi kwa dunia ya leo unakosa usingiz kisa Kafakeni kamoja tu tena kalikozalishwa kakaachwa dah unatuangusha wanaume asee
 
Point ya msingi Sana Yaani usilazimishe mambo sijui mapenzi,urafiki n.k "what always belongs to you will always find u"
 
Hilo tatizo linahitaji moyo na kipindi kigumu sana but usikae mazingira negative. Na don't overthink yeah ni ngumi lakini the way I see it you can either run from it or learn from it.
 
Bro umri mbona bado upo unaumia na nin,
We mkubwa bwana izo mambo za kushindwa kula waachie watoto wa 2000s,
We move on...................
 
Pole sana mkuu. Mapenzi yanauma sana ila utakaa sawa
 
Kaka Kwanza pole, Kwa maelezo yako nimegundua yafuatayo kisha nitakupa kama mimi ningefanyaje.

Wew Unampenda huyo binti kwa dhati na umeamua kukaa na mtoto wake

Binti amewaweka kwenye mizani wanaume wawili wew na huyo jamaa ila kuanzia alhamisi alionekana kumkubali jamaa.Alipoenda atakuta tofauti na matarajio afadhari ya kwako kwa maana hiyo wewe ni option B,Kuwa makini anatafuta option A akiipata anaenda na kukuacha tena Hapo Ndio utajuta zaidi

Chunguza vizuri ukute hata baba mtoto yupo hai ila walizinguana tu ,sio mkweli huyo binti.

Shukuru Mungu amekuonyesha mapemaa muache aende zake.
 

Mh na wew bado unaenda
 
Pole mzee kwa yaliyokukuta.
Mwenyew Yashawahi kunitokea hayo lakini mm nilikuwa huyo jamaa uliyempigia simu.
Hv watu mnapata wapi ujasiri wa kuoa single mothers?
Yaan mm mwanamke akishakuwa na mtoto tuu baaaac huyo hayupo tena kweny akili yangu.
Pole kaka, kwanza kubaliana na hio hali kwamba nimegongewa my future wife, then concentrate kweny kazi na anzisha mahusiano na mademu wengine itakusaidia, japokuwa haitakuwa kazi rahic.
 
Ndio maana ni bora uwe single au kuwa nao 3 plus ns unacheza kwa akili.

Mmoja ni risky sana. Mimi mwanamke akianza mawenge huwa nafanya mirroring.. unamuonesha vile anafanya.

Maana huwa hawafikirii. Wanajali hisia zao saaana kuliko sacrifice unazotoa.

And hamna kitu kinanuumiza mwanamke km vile kujua hautingishiki na usenge wake.. anafanya usenge puuzua tu.

Tujifunze kurespond na sio lureact.
 
Never re-friend, a snake only shades its skin to be a bigger snake...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…