Msaada wa kioo cha simu TECNO SPARK #

Msaada wa kioo cha simu TECNO SPARK #

mhuri25

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2016
Posts
3,259
Reaction score
4,467
Wakuu habari ya wakati huu.. Samahani kuna hiyo simu imepasuka kioo imetoa mistari mingi Sana baada ya kudondoka chini ila touch inafanya kazi Kama kawaida!!! Nauliza Inaweza kubadilishiwa kioo na je bei ni shilingi ngapi ukijumlisha na ufundi...

Location DODOMA MJINI
 
Habari yako.

Ni vema ukasema SPARK ipi, mana spark ni series ya simu.

Pia simu za spark bei zake za vioo zimechangamka sana.

Wakuu habari ya wakati huu.. Samahani kuna hiyo simu imepasuka kioo imetoa mistari mingi Sana baada ya kudondoka chini ila touch inafanya kazi Kama kawaida!!! Nauliza Inaweza kubadilishiwa kioo na je bei ni shilingi ngapi ukijumlisha na ufundi...

Location DODOMA MJINI
 
Kwenye simu yako kama una app ya carlcare ingia then chagua aina ya simu yako angalia kwny accessories utaona bei ya kioo cha simu yako.
 
Pole sana mkuu, simu yangu iliharibika kioo nikaipeleka Carlcare wakanitengenezea bure kabisa kwa sababu ilikuwa ndani ya Warranty, Nakushauri kama haijapita mwaka na mwezi mmoja, Tafuta ofisi za Carlcare kwa huko dodoma, watakutengenezea bure
 
Mkuu ahsanteh Sana hebu nipe muongozo vizuri maana nimenunua mwanza na Sasa nipo Dodoma hakuna shida yoyote na hiyo ofisi za carlcare ndio nn samahani!!!
 
Carlcare ni kampuni yenye dhamani ya ufundi wa bidhaa za Tecno, Itel, Infinix dunia . (zingatia kuwa hizo bidhaa zote ni mali ya kampuni moja)

Kampuni hii ina matawi kila nchi ambapo bidhaa hizo huuzwa.

Hivyo basi simu yako ikiwa bado ipo chini ya warranty na pia ile security seal haijakatwa utahudumiwa bure ila utalipia vifaa (as per my kumbukumbu)

Tafadhali rejea hii link: http://www.carlcare.com/we-provide/service-center/maps2/show/PoiCollection/

Chagua nchi na mkoa wako utapata location ya kituo chao cha huduma

Carlcare-Dodoma

1st Floor, Block 8, Plot No.27, Uhuru, Dodoma Municipality, Tanzania

Service Center

Weekday Hours9:00-17:30

Saturday Hours8:30-15:00

Sunday Hours0:00-0:00

service@carlcare.com

255737571344

Hivi ufundi ndio bure au na vifaa?....nakumbuka 2016 simu yangu ilikufa system charging nkabadilishiwa nikawekewa mpya bila kulipa hata thumni kwa hao carlcare.....simu ilikuwa ndani ya warranty.

Sawia brother.

Warranty inakua na terms zake.

Sasa kuna baadhi ya matatizo ambayo yanatokea ambayo hujasababisha wewe mteja hivyo utafanyiwa bure.

Ila kioo kupasua ni uzembe binafsi hivyo utawajibika na kulipia gharama za kioo.

Huduma inaamuliwa na TERMS ZA WARRANTY.

Ahsante

Asante mkuu...Umesomeka vizuri!

Umestahili kuwa verified.
 
Carlcare ni kampuni yenye dhamani ya ufundi wa bidhaa za Tecno, Itel, Infinix dunia . (zingatia kuwa hizo bidhaa zote ni mali ya kampuni moja)

Kampuni hii ina matawi kila nchi ambapo bidhaa hizo huuzwa.

Hivyo basi simu yako ikiwa bado ipo chini ya warranty na pia ile security seal haijakatwa utahudumiwa bure ila utalipia vifaa (as per my kumbukumbu)

Tafadhali rejea hii link: http://www.carlcare.com/we-provide/service-center/maps2/show/PoiCollection/

Chagua nchi na mkoa wako utapata location ya kituo chao cha huduma

Carlcare-Dodoma

1st Floor, Block 8, Plot No.27, Uhuru, Dodoma Municipality, Tanzania

Service Center

Weekday Hours9:00-17:30

Saturday Hours8:30-15:00

Sunday Hours0:00-0:00

service@carlcare.com

255737571344
Mkuu shukrani sana Wewe Kama ni Mwalimu Basi wanafunzi hawatafeli kabisaa...
 
Hivi ufundi ndio bure au na vifaa?....nakumbuka 2016 simu yangu ilikufa system charging nkabadilishiwa nikawekewa mpya bila kulipa hata thumni kwa hao carlcare.....simu ilikuwa ndani ya warranty.
Samahani Mkuu hiyo Security seal ni kitu gani maana nataka niwafate kesho hapo ofisini kwao!nn
 
Kwa sasa sina picha. (nikipata nitaweka)

Fungu kava la simu yako (iwapo inafunguka)

Angalia screw zake utaona kuna moja inawekwa kikaratasi cheupe (mara nyingine cha bluu kina alama ya T)

kama hukuwahi kuifungua simu yako usiumize kichwa.
 
Je simu ikiwa out of warranty. Nalipia gharama za ufundi?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom