Bonny JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 13,369 Reaction score 30,011 Aug 20, 2013 #1 from heading wadau naomba kusaidiwa wap ntapata kin'gamuz ambacho kinaonyesha al jazeera sports na gharama zake zinakwendaje including gharama ya dish, receiver, and malipo yake kwa mwaka or mwez yakoje! naomba kuwasilisha
from heading wadau naomba kusaidiwa wap ntapata kin'gamuz ambacho kinaonyesha al jazeera sports na gharama zake zinakwendaje including gharama ya dish, receiver, and malipo yake kwa mwaka or mwez yakoje! naomba kuwasilisha
Maarko JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 1,197 Reaction score 611 Aug 21, 2013 #2 nenda kariokoo mussa telecomunication utapata vyote,gharama zake jumla ni around ya 1m.
Bonny JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 13,369 Reaction score 30,011 Aug 23, 2013 Thread starter #3 tanx kaka kwa kariakoo wako sehem gan maana k,koo ni kubwa au kama una mawasiliano yao ningeomba tafadhal
tanx kaka kwa kariakoo wako sehem gan maana k,koo ni kubwa au kama una mawasiliano yao ningeomba tafadhal