Msaada wa kimawazo wana jf kuhusuu...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kimawazo wana jf kuhusuu...!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mr. Masasi, May 29, 2011.

 1. M

  Mr. Masasi Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi inawezekana kweli nikatumia provisional result kuingia jeshin,Kwan kwa tarifa za kipaparaz mwez wa 12 nafas za profesional jeshin zaweza kutoka na mimi nikiwa namaliza chuo mwaka huu! Msaada wa kimawazo wa jf! Thanks.
   
 2. blackdog

  blackdog Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mkuu,maombi yoyote ya serikalini provisional result haikubaliwi lakini unaweza omba kwa sifa ulizonazo result ikitoka utawajulisha viongozi wao watahifanyia kazi.
   
 3. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nafikiri inawezekana ...cha maana ni kuwa na taarifa zingine za ziada toka chuoni kwako km vile barua etc
   
Loading...