mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,216
- 3,319
- Thread starter
- #21
Kweli kaka Mimi nafikia hatua naona kama elimu niliyoipata hainisaidii... Nisoma factual information nyingi sana ila outcomes yako siioni!!Kwa usawa huu wa jpm,wajasiriamali wanatamanj wangeajiriwa,walioajiriwa wanatamani wajiajiri..kila MTU kavurugwa kichizi