Msaada wa kimatibabu

Nzona

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
4,073
Reaction score
6,325
Habari za wakati za mchana huu ndugu zangu na hope mko katika mihangaiko yenu ya kutwa nzima

Nina jambo langu ndugu zangu week kama ya pili inaanza leo viungo vyangu vya kiume sijui ni UTI AU kitu Gani, dalili ni hizi napata kunaungua, muda mwingine kama Kuna viwembe ndani kama vinakata, pia muda muwasho ndani ya muwasho naskilizia, tu naona muda nakuwa sawa muda vinaamka

Nakunywa maji ili nione Hali itakuwaje pia kingine sijashiriki siku nyingi Nina mtu mmoja jinsi ya kike Mimi kiasi sio mtu wa kurukaruka sijui huko mara huko nimetulia nae tu nae hayupo kwa Sasa, pia kupima Sina fedha ya vipimo Wala ya dawa naomba msaada wenu wa kifedha ndugu zangu🙏🙏

0656351446 Ema
 
Mkuu kuwa serious basi. Mbunyeto umeipelekea moto peke yako bila kutushirikisha huku ukifurahi na kujisifu kuwa wewe ni kidume. Halafu Leo umepata mavuno yako ndiyo unataka kutushirikisha. Tafuta hela ukajitibu.
 
Unaumwa UTI.. Hakuna haja ya kwenda hata kupima.. Nenda pharmacy kanunue AZUMA
 
AZUMA pekee ndio mkombozi wako , wahi mapema kabla havijazidi , maana ukichelewa unaweza kwenda kuponea makao makuu ya AZUMA India
Unaumwa UTI.. Hakuna haja ya kwenda hata kupima.. Nenda pharmacy kanunue AZUMA
Toka uzaliwe nina imani hujawahi kupima hicho kipimo cha U. T. I

AZUMA siyo dawa ya U. T. I mkuu, tuache kukariri mambo.
 
Samahan Lakin Kwan huyo mwenzako umemshirikisha?
Fanya kumtaarifu labda itarahisisha
 
pole sana lakini huo ni ugonjwa mdogo kuja kuomba msaada huku ungeanzia kwa ndugu zako, majirani au hata marafiki maan hao ndo wataweza hata kukuuguza kama tatizo ni kubwa,, ila usijali unaweza kuokota maana watu wema bado wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…