Msaada wa kimarisha security kwenye yahoo mail

BHULULU

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
4,903
1,250
Habari wakuu,
Ninatumia account ya yahoo,sasa kuanzia leo mchana nimeanza kupokea delivery failure kwa e-mail ambazo nilishazituma hapo zamani na kujibiwa bila tatizo.Kitu kingine cha ajabu ni kwamba wengi wa rafiki zangu wamepokea e-mail toka kwangu yenye ujumbe uleule bila ya mimi kutuma.Je, inaweza kuwa hacked?Naomba msaada ili niwezze kuimarisha security ya account yangu.Ahsanteni
 

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,297
2,000
Badili password, pia ukiingia kwenye account info unaweza kuona login za mwisho zimefanyika wapi.
 
Top Bottom