Habari zenu wadau,
Nimejaribu kulima pilipili za mwendokasi, japo nilizichelewesha kwenye kitalu lakini nimezipanda zikashika vizuri zikakutana na kiangazi zikala jua la kutosha la Dar then ilipokuja mvua ziaanza kutoa pilipili kiasi lakini kipindi chote sijaiweka dawa wala mbolea zaidi ya samadi ya kuku,
Sasa juzi nimejichanganya nikapiga dawa fulani jana nakuta zote majani ya njano ila leo naona zinaenda vizuri nimeanza kupalilia maana jani lilikuwa refu na maua yanaanza kutoka tena maana nishauza kama ndoo 2 tangu nianze kuvuna japo kusubiria maana kila siku navuna sado 1 sasa kuna mtu kaniambia niweke busta na mbolea ya viwandani naweza jana ndoo moja mashina mawili hapo nimebaki na mashina 40 kati ya mia, je kuna mtu anayejua au analima hizi pilipili anaisaidie utalaam japo kidogo.
Asanteni