Msaada wa kielimu

Midozenj01

JF-Expert Member
Sep 21, 2014
410
385
Hope mko poa wana JF.

Ombi langu kubwa kwenu kielimu ni kuujua Mto Ruvu hususani main areas kama ni wilaya au vijiji itakuwa bora zaidi mahala unapopita mpaka unapoenda kumwaga maji baharini, unamwagia upande upi? Nina project ya Water Quality Assessment, nimependa nifanyie Mto huu. Ila sio whole river ningependa kijiji chochote mtakacho nishauri wana JF.

Natanguliza shukrani za dhati kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom