Ntikwite
Member
- May 13, 2017
- 94
- 54
Mimi ni kijana ambae namshukuru mungu nika kibarua cha kupata chochote mwisho wa mwezi,samahani nilikuwa naomba msaada wa mawazo kuwa mm mwakani ninampango nijisajiri kufanya mtihani wa kidato cha sita ambao ntaweza kifanya mwaka 2020 na nina option ya combination HKL,HGL,HGK je ni kombi ipi niisome ili ije kunisaidia kudomea course ambayo itakuja kunisaidia kupata kipato mbali na ajira yangu na ni course ipi ungenishauri n focus kuja kuisoma???NB sijaweza kuanza na elimu ya certificate kwa sabanu ya majukumu hadi najikuta hari ya uchumi inanibana kufanya ivoo