Msaada wa kibenki

Cas9

Member
Mar 18, 2014
65
17
Wakuu salaam! Naomba kujua ni benki gani hapa nchini zina huduma ya pay pal.
 
Bank zote zinazotoa huduma ya visa na master card zina huduma ya paypal tatizo wafanyakazi wengi wa bank ni vilaza nilipata tabu sana wakati najiunganisha kwani mimi natumia nbc lakini kila nikienda kuangalia activation code walikuwa wanashundwa kunielewa mpaka pale nilipoenda kwa watu wa it kitengo cha bank ndio waliweza kunisaidia
 
Back
Top Bottom