By default, kadi zote huwa zimezuiwa kufanya manunuzi mtandaoni, ili kulinda usalama wa fedha yako, Ni mteja anapaswa kueleza kuwa unahitaji kuitumia kufanyan miamala mtandaoni na utapewa fomu utajaza, na kadi yako itaruhusiwa kufanya manunuzi/ malipo mtandaoni.Je naweza nikapata mtandao mwingine naoweza kufanya manunuzi kwa card hii hii ya tembo card bila kwenda bank kufanya maboresho yoyote.
By default, kadi zote huwa zimezuiwa kufanya manunuzi mtandaoni, ili kulinda usalama wa fedha yako, Ni mteja anapaswa kueleza kuwa unahitaji kuitumia kufanyan miamala mtandaoni na utapewa fomu utajaza, na kadi yako itaruhusiwa kufanya manunuzi/ malipo mtandaoni.
Hivyo fika benki na watakusaidia kuiwezesha kadi yako.
Je naweza kuamishia pesa kwenye mpesa, tpesa nk kwa laina tofauti maana npo na sim card ambayo ni tofauti na ile niliyotumia kwenye baadhi ya details za kufungua account ya bankHakuna lazima ufike benki .mbadala wake ni mpesa visa card na makato ni almost the same
mkuu kutengeneza virtual card najua ila swali langu kubwa ni je inawezekana kuhamisha pesa kutoka benk na kwenda kwenye lain yeyote ile tofauti na niliyo tumia kwenye baadhi ya taarifa wakati natengeneza account ya bankKWa urahisi kama una account ya MPesa tengeneza virtual card. Binafsi nimekia nikiitumia kwenye manunuzi mtandaoni bila changamoto yoyote.
Hapo sina uzoefumkuu kutengeneza virtual card najua ila swali langu kubwa ni je inawezekana kuhamisha pesa kutoka benk na kwenda kwenye lain yeyote ile tofauti na niliyo tumia kwenye baadhi ya taarifa wakati natengeneza account ya bank
Ndio waweza kuhamisha fedha.je inawezekana kuhamisha pesa kutoka benk na kwenda kwenye lain yeyote ile tofauti na niliyo tumia kwenye baadhi ya taarifa wakati natengeneza account ya bank
Ndio waweza kuhamisha fedha.
- 1. Kwenda Benki | kutoka namba yeyote ya mtandao wowote kwa jina la usajiri lolote katika simcard husika, Na fedha itakufikia kwenye account yako.
- 2. Pia Kutoka benki kwenda Kwenye laini yeyote, Mtandao wowote, kwa usajiri wa jina lolote fedha itapokelewa kama kawaida kwenye namba husika.
- Katika nini? kamilisha swali.hitajika baada ya password na card number