Asante ,Mimi nimejikita katika kuandaa content ya topics zozote zileKuna kuandaa content, yaani unakaa una brainstorm based on topic husika kisha una buni content. Hii lazima uwe specific mkuu, huwezi kuwa competent kwenye siasa, Biashara, ujasiriamali, Maendeleo binafsi na maeneo mengine yote. Ni ngumu, lazima uchague maeneo y
Nina imani kuna kitu umekipata.
Have a blessed morning.
Ni kweli mkuu, pia inahitaji uwe competent sana ili kutoboa. Muhandishi ni vema kujua walau lugha mbili tofauti. Kiswahili na kiingereza, hii inakuongezea wigo na kurahisisha kazi yako. Sina maana ya kujua lugha moja tu ni vibaya, ila katika kupambana na soko inasaidia sana.Makala za Kiswahili soko lake ni gumu.