Ahobokile lwitiko
Member
- Feb 12, 2013
- 18
- 1
wapendwa watanzania wenzangu, naombeni connection ya kazi,nilikuwa nafanya kazi ya mkataba na wazungu lakini mkataba umeisha na mda wa wao kuishi hapa tanzania umeisha hivyo sina kazi.
nimezunguka sana maofisini na zaidi naingia galama zingine na kupoteza fedha nyingi kwa waajili bila mafanikio zaidi napewa danadana tu.
nimeleta maombi kwenu watanzania wenye huruma na wenye kuguswa nami, wanisaidie japo niweze kupata chochote ili wadogo zangu waendelee kusoma.
elimu yangu ni shahada ya sanaa na elimu "bachelor of arts with education' toka saint augustine university tanzania 2011.
sibagui kazi wala mazingira,0753 750 219 / 0714 212 268
napatikana mwanza(nyamagana)