Msaada wa kazi ndugu watanzania wenzangu.

Kwa 'profiling' ya haraka haraka inaonyesha unapenda zaidi kufanya kazi na wageni -nakushauri hii weka pembeni. Kazi zipo sana lakini kwanza 'you have to be very good'. Pili usichague kazi. Unaweza kupata hata kazi ambayo hujaisomea ikiwa tu unaweza kutetea hoja zako vizuri katika usaili. Tatu uandishi wa CV pia una-'put off' sana waajiri hivyo jitazame.Kwa kuandika CV vizuri inaweza kukufanya uitwe kwenye usaili hata kama huna sifa za kutosha..

Hapana ,napenda sana kufanya kazi na Wazawa, ila tatizo ni Who you know na sio What you know Iliyopo hapa kwetu,siwez kusema siko sawa, niko safi nadhani ndio maana hata hawa wazungu wananikumbuka sana hasa kwa mawasiliano, na siwez kuchagua kazi kiongozi, na kuhusu uandishi wa CV sina uhakika sana nao lakin nilimpelekea HRM fulani pamoja na cover letter aliisifia na zaid nakumbuka aliongezea vitu vichache sana.Personality yangu iko safi
 
Kwa uhakika 'who you know' ni kidogo sana.. Jaribu ku-google Zoom Tanzania wanaweka nafasi mbalimbaliza kazi, unaweza kuziangalia. Pia wajaribu Erolink Recruitment na Radar recruitment pia siyo wabaya..
 
zoom Tz niko nao kiongoz labda hao wengine nijiunge nao.
 
Back
Top Bottom