saa ya ukombozi ikifika kila mtu anachakarika kwa nafasi yake kwa sababu Tanzania ni nchi yetu sisi zote, sasa inauma sana watu wachache kuifanya milki binafsi, na urithi wa vizazi vyao. inauma kila mwenye uchungu na nchi yake hata jali, kinamgarimu nini, kinacho takiwa ni ukombozi. siyo propaganda ya kubadilisha viongozi, tunashukuru kwa waliyo ya fanya na wao waridhike ,waachie ngazi wengine pia wapange kwa nguvu mpya, jamani utamu wa jembe ni kupokezana. ccm wakubali wasikubali, wataachia ngazi tu. inauma sana wananchi wanakamuliwa nguvu zao mali zao kuchenga shule leo wanasema wamejenga shule? wafanyakazi wanalipa kodi kila mwezi, wanasema wameondoa kodi? wao wanaolipwa mapesa mengi bila kukatwa kodi. watanzania wapiga kura wa vijijini wanakufa njaa, nguo ya kutokea shida baada ya miaka mitano wanasambaziwa tshet na kofia ili wapate kura, kwanini wasisambaze masuruali, blanket, vitenge, suti, kama kweli hizo ngua ni za kheri, laana na kilio cha watanzania i juu yao na vizazi vyao kwa kuwadanganya watanzania wasio jua haki zao na kuwatumia kama bidhaa, kujipatia uongozi. watanzania tuamke inatosha, kama wewe siyo mnufaika wa magamba itetee nchi yako.