katika kijiji cha nyamwage wilaya ya rufiji, kijiji hiki kipo barabara ya kuelekea lindi, na ile round about ya kuelekea ofisini kwa dc utete mkoa wa pwani.
Kadi zipatazo 150 na bendera za chadema kama 50 hivi zinahitajika.
Kijana ajulikanaye kwa jina la pawasa pale nyamwage ndiye mhamasishaji wa cdm.
Hawana uongozi ila ameandikisha wanachama kama 100 hivi, anaomba msaada huo.
Nilikutana naye na kuzungumza kidogo ndipo alipo nijulisha shahuku yake ya moyo hiyo jana.
Tafadhali kama ni hapo makao makuu ya chadema niiteni nije nichukue kadi hizo na bendera,kama ni hapa kibaha mkoani naomba msaada huo.
Namba za pawasa 0718382967na namba yangu mimi ni 0754966964, nipo kibaha.