kwa uzoefu wangu mdogo, nowadays huhitaji kujiunga na internet kwa mtindo huo, maana simu nyingi zimeimarishwa teknolojia kwamba ukitaka kujiunga unatuma namba kulingana na kampuni,kisha unanunua bundle vile unataka. Mfano kwa Voda ni *149*01#, na Airtel ni *154*44# (kama sijakosea), ama kwa Airtel hiyohiyo, tuna msg INTERNET kwenda 15444 ili kupata 400MB kwa mwezi mmoja