Msaada: Jinsi ya kuweka pesa kwenye Mastercard kwa Airtel Money

baharia 1

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
1,255
1,268
Habari wakuu,

Naombeni kufahamishwa jinsi ya kuweka pesa kwenye Mastercard kwa Airtel Money.

Asanteni.
 
Habari wakuu,

Naombeni kufahamishwa jinsi ya kuweka pesa kwenye Mastercard kwa Airtel Money.

Asanteni.
Huweki, pesa inayokuwa kwenye airtel money ndo hiyo hiyo ilioko kwenye mastercard. Ukilipa itachotwa hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom