wakomong'we
Member
- Oct 28, 2011
- 30
- 2
Wakuu natanguliza shukurani kwenu. Nina nokia asha 200 na ninatumia line ya airtel nimeshindwa kuunganisha na internet.Ingawa kwa line ya voda unaandika neno Wap nokia Asha 200 unatuma kwenda 15300.Naomba kujua kwa line ya airtel tunafanyaje? Naamini katika JF