Msaada wa jinsi ya kupata atn kwenye startimes

mi mwenyewe ni ajenti wa startimes, kuna maswali nitamhoji kabla sijampa maujanja.
 
nenda settingz afu manual searching andika 530 then search!rudia tena with same procedurez then now apply 570 search then you are done
 
Kudadadadadeeeek, wewe ni nouma! Nimepata channel 10 za ziada (nalipia kifurushi cha sh. 20,000), channel nilizopata ni ATN,SETANTA AFRICA,TBN, CNN,TBN,MUVI TV AFRICA,K24,EMMANUEL,COLOURS.
 
watakuwa wamestuka wachina .maana ata mimi nilikuwa nakula dubai one hd fresh lakini sasahivi no service kudadeki

Sio kwamba wameshituka tatizo ni kuwa hivyo ving'amuzi vyenu vya t1 haviwezi shika tena chanel hizo ila c wenye vya dvb-t2 bado tunazipata kama kawaida.Hizo chanel ni za decoder ya ting,sasa wametoka kwenye mfumo huo wa decoda za t1 na kuhamia dvb-t2 hd,ndio maana hamzipati,pole sana kaka kwani ni chanel nzuri sana.
 
Provider gani wa t1 kabaki mkuu tufaidi?
 
Back
Top Bottom