Baada ya kuulizia nikaelekezwa kwamb nitume neno ALL kwenda 232 lakini sijafanikiwa chochote..zaid ya kutumia EDGE na GPRS yan ni slow san.......
Naomba weny ufaham wa hili wanisaidie tafadhari....
open dashboard yako (software ya modem) then fata maelekezo haya.
Bonyeza tool then option then select network
kwenye network type eka wcdma only then click apply iskilizie kidogo kama italeta 3g.
Ikileta ujue ndo ushapata netowrk ikikataa rudia hizo step ueke gsm ili uendelee kutumia edge

Ila kuna kitu kinanishangaza kidogo,mimi nina laini ya voda ya kitambo sana.Hii ni ya kahawia na ina alama ya dunia kwa nyuma.Sasa nimenunua modem ya voda nikapewa na laini mpya ya rangi nyekundu.Kwa sasa nipo kilosa moro.Cha ajabu hii laini mpya nyekundu haikubali WCDMA only wakati ile ya zamani inakubali vizuri sana.Sasa sijui tatizo ni nini hapo.-WCDMA (Wideband Code Division Multiplexing Access)
-GSM (Global System for Mobile Communications)
Ila kuna kitu kinanishangaza kidogo,mimi nina laini ya voda ya kitambo sana.Hii ni ya kahawia na ina alama ya dunia kwa nyuma.Sasa nimenunua modem ya voda nikapewa na laini mpya ya rangi nyekundu.Kwa sasa nipo kilosa moro.Cha ajabu hii laini mpya nyekundu haikubali WCDMA only wakati ile ya zamani inakubali vizuri sana.Sasa sijui tatizo ni nini hapo.