Napingana na wewe kidogo.Hii ndio sababu watu wanakuja na ID mpya kila siku, watumiaji wanaonekana wengi kumbe kiuhalisia hakuna ongezeko
Kwa kutumia chrome operamini au safari. Una bonyeza hapoNaomba unisaidie hata kuedit au kama kitu sitaki kionekane ama sentesi flank niifiche kwa kuchora chora
Ni kweli mkuu kwa unachosema, sikuelekeza hoja yangu kwa huyu muuliza swali ila nimejaribu kufikilia huwenda members humu wakawa na ID zaidi ya moja Kwasababu kuna michango mingine inakua ngumu kuchangia kwa ID ile ile.Napingana na wewe kidogo.
Kwa mtumiaji wa muda mrefu/mzoefu JF akija na ID mpya hawezi kuuliza swali kama hili maana atakuwa anajua.
Kweli kabisa, suala la multiple ID kwa baadhi ya member lipoNi kweli mkuu kwa unachosema, sikuelekeza hoja yangu kwa huyu muuliza swali ila nimejaribu kufikilia huwenda members humu wakawa na ID zaidi ya moja Kwasababu kuna michango mingine inakua ngumu kuchangia kwa ID ile ile.