Msaada wa jinsi ya kuchaji battery. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa jinsi ya kuchaji battery.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtoto halali na hela, Sep 13, 2012.

 1. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,190
  Likes Received: 2,884
  Trophy Points: 280
  Poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa, najitokeza kwenye jukwaa hili kuomba mwenye ujuzi wa jinsi ya kuchaji battery za Camera. Nina Camera ambayo inatumia rechargeable battery, ila nimeshindwa kuelewa nitazichaji je sababu zipo separate. Namaanisha inatumia battery mbili, ambazo zinafanana kabisa na batteries nyingine. Pia nikinunua battery nyingine nazitumia tu kwa muda mfupi zinakwisha charge, kwa hiyo anayejua chombo ambacho nitaweza kukinunua kinisaidie kuchajia hizo battery ningeshukuru. Natanguliza shukrani.
   
 2. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,685
  Trophy Points: 280
  sometime huwa naichukia bongo kwa kuwa hakuna utandawazi na huduma nyingine ni adimu kuzipata...
  ukweli ni kwamba hizo cell unaweza kuzirudishia charge, muhimu labda uende maduka ya wahindi posta yanayouza camera za digitali then uulize kama wanacharger zenye kurecharge size ya cell ulizonazo
   
 3. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,190
  Likes Received: 2,884
  Trophy Points: 280
  asante watu8
   
Loading...