Habari za jumapili wakuu!!! Nimetengeneza website kwa kutumia wordpress sasa nataka kurusha hewani. Nimeshanunua domain na hosting plan kutoka hostgator. Nimekwama jinsi ya kuirusha. Naomba msaada tafadhali. Asante sana.
Habari za jumapili wakuu!!! Nimetengeneza website kwa kutumia wordpress sasa nataka kurusha hewani. Nimeshanunua domain na hosting plan kutoka hostgator. Nimekwama jinsi ya kuirusha. Naomba msaada tafadhali. Asante sana.
Hauwezi kuhost kutoka localhost, inabidi uhamishe data zote kutoka local machine kuweka hostgator.
Ingia account ya hostgator, install wordpress latest How to Install WordPress « HostGator.com Support Portal.
Update wordpress kwenye machine yako iwe latest.
Install Plugin hii: https://wordpress.org/plugins/all-in-one-wp-migration/ kwenye local wordpress na kwenye wordpress ya hostgator.
Export site yako kwa kutumia hiyo plugin katoka local wordpress yako, itatengeneza file.
Import hiyo export file iliyokuwa generated katika wordpress ya hostgator.
kama ambavyo wakuu hapo juu wamesema
1. zip folda lenye site lililo kwenye localhost, pia download database kupitia phpmyadmin (ukidownload jaribu kubadili url zenye localhost ziwe na anwani ya domain)
2. upload zip folda kupitia cpanel au file manager ingine kisha extract kila kitu kwenye live host wako, ukimaliza tengeneza database mpya kupitia phpmyadmin na import ile database uliyotoa localhost
3. modify wp-config.php kwenye sehemu za database, username, password ifanane na value ulizotengeneza mpya, ukimaliza save.
4. violaaaa, kitu kipo hewani
fanya hivi...
upload folder lote la wp contents..kwenda kwenye public html au www folder...
export sql kutoka kwenye localhost.katika UTF -8 format ...
nenda kwenye live server(domain) create database ...then import lile sql file...
edit and upload file la wp config.php kulingana na database details za domain yako.
ukifanikiwa hayo hakuna haja ya kufanya fresh installation ya wp kwenye domain yako. yaani itajiinstall yenyewe ukisha upload lile sql file.