Msaada wa jinsi kupata mtoto wa kike

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,797
6,795
Habari

miss wangu anaingiaga mwezini tarehe 15 kila mwezi japokuwa miezi mingine inakuwa irregular kama 20, 18. Baada ya kutafuta mitandaoni, nilishindwa kuelewa ki trump language.

kwa wenye watoto wa kike, ni siku ipi ambayo iliwapa watoto hao?

nawasilisha

nb.masihara sipendi
 
mkuu.. mbona unaubaguzi.. ina maana sisi ambao hatuna watoto hatupaswi kutoa ushauri..

kuna wengine wana watoto ila walijikuta tu wana watoto..
 
tuchuchukulie mwanamke wako ana kalenda ya siku 28, la kuzingatia ni kuhesabu siku 14 kurudi nyuma toka siku ya mwisho ya kalenda ambayo ni tarehe 28. kwa hiyo baada ya kurudi nyuma kwa siku 14 tarehe itakayofikiwa ni tarehe 14 ya kalenda yake (maana 28-14=14), hiyo ndio siku ambayo yai la mwanamke hufanywa urutubishwaji. kibaiolojia na kitaalamu kuna takribani siku 6 hadi 7 za kuwezekana kutungwa mimba, siku 4 kabla ya siku ya urutubishwaji na siku 2 baada, kwa hiyo uwezekano wa kupata mtoto wa kike kwa kiwango kikubwa ni kwa siku 4 kabla hadi siku 2 kabla mana gamete X (ke) huchelewa kuteleza kuelekea kwenye ovum kuliko gamete Y (me). kwa hiyo kwa kutumia kalenda tarehe 28 siku nzuri kwa ajili ya kutunga mimba ya kike ni kwenye tarehe 10, 11, 12 na uwezekano kiasi wa tarehe 16 wa kalenda hii niliyotolea mfano. mgegedo mwema!!
 
Mkuu katika utungaji wa mimba jinsia ya mtoto hutokea kwa prpbability yaani muunganyiko wa X ba X ama X na Y,
Hii hutokea naturally , huwezi kupanga matokea,
Watakuja watu hapa kila mtu na lake kukushauri.
But utaalamu wa kisayansi ndivyo unavosema.
 
Habari

miss wangu anaingiaga mwezini tarehe 15 kila mwezi japokuwa miezi mingine inakuwa irregular kama 20, 18. Baada ya kutafuta mitandaoni, nilishindwa kuelewa ki trump language.

kwa wenye watoto wa kike, ni siku ipi ambayo iliwapa watoto hao?

nawasilisha

nb.masihara sipendi
Kwani ukizalisha dume kuna kesi gani?

Anyway wanasemaga unatakiwa usifanye matusi na demu wako siku 14 kabla ya ovulation ndio kuna possibility kibwa ya kupata jike
 
hesabu siku ya 14 kuanzia siku ya damu kutoka siku hiyo ya 14 yai linakua lipo chini lishashuka na kwa kua mbegu dume zinakimbia haraka kuliko jike zitalifikia yai na kutunga mimba mbegu jike zipo slow ioa zinaish sana siku nne ndio watoto weng ni wa kike sababu mbegu jike zinaish sana na kuzurura maeneo ya yai hivyo yai likishuka tu zinajibandika tofaut na za kiume mpaka uzirushe zikifika hazina uwezo mkubwa wa kuzurura maeneo ya uwanja wa yai kudondoka hivyo hufa kabla ya yai kushuka au yai likishuka zinaishia nguvu sababu zimekaa sana.... nina formula ya kuongeza ubora na wing wa shahawa ni elfu 20 whatspp 0712505049
 
Habari

miss wangu anaingiaga mwezini tarehe 15 kila mwezi japokuwa miezi mingine inakuwa irregular kama 20, 18. Baada ya kutafuta mitandaoni, nilishindwa kuelewa ki trump language.

kwa wenye watoto wa kike, ni siku ipi ambayo iliwapa watoto hao?

nawasilisha

nb.masihara sipendi
Mimi binafsi nina uwezo wa kukuelezea kwa vitendo,kwa hiyo kama kuna KE anayetafuta mtoto wa kike,mimi nipo tayari kufanya practical ya kupatikana mtoto wa kike.
Naomba post hii isichukuliwe kuwa ni utani,aliye serious aje PM.
 
Kwa mfano mimi napata siku zangu tarehe 11 - 14 na ninamzunguko wa siku 28 je tarehe ya kupata mtoto wa kike hapo ni ipi?
 
Habari

miss wangu anaingiaga mwezini tarehe 15 kila mwezi japokuwa miezi mingine inakuwa irregular kama 20, 18. Baada ya kutafuta mitandaoni, nilishindwa kuelewa ki trump language.

kwa wenye watoto wa kike, ni siku ipi ambayo iliwapa watoto hao?

nawasilisha

nb.masihara sipendi
Hauo serious wewe. Mi nnae mtoto wa kike ila hata sijui siku niliyotungisha mimba yake. Sasa swali lako kwamba nilifanyaje mimi nilistarehe na mke wangu akapata mimba.

Watoto wa siku hizi mnajifanya kila kitu mfanye kisomi. We zaa tu jinsia anapanga Mungu.

Ultrasound inapigwa inasema mtoto wa kike halafu anazaliwa mwanaume. Acha uzwazwa.
 
tuchuchukulie mwanamke wako ana kalenda ya siku 28, la kuzingatia ni kuhesabu siku 14 kurudi nyuma toka siku ya mwisho ya kalenda ambayo ni tarehe 28. kwa hiyo baada ya kurudi nyuma kwa siku 14 tarehe itakayofikiwa ni tarehe 14 ya kalenda yake (maana 28-14=14), hiyo ndio siku ambayo yai la mwanamke hufanywa urutubishwaji. kibaiolojia na kitaalamu kuna takribani siku 6 hadi 7 za kuwezekana kutungwa mimba, siku 4 kabla ya siku ya urutubishwaji na siku 2 baada, kwa hiyo uwezekano wa kupata mtoto wa kike kwa kiwango kikubwa ni kwa siku 4 kabla hadi siku 2 kabla mana gamete X (ke) huchelewa kuteleza kuelekea kwenye ovum kuliko gamete Y (me). kwa hiyo kwa kutumia kalenda tarehe 28 siku nzuri kwa ajili ya kutunga mimba ya kike ni kwenye tarehe 10, 11, 12 na uwezekano kiasi wa tarehe 16 wa kalenda hii niliyotolea mfano. mgegedo mwema!!
Hizi story tu. Mungu ndio anapanga jinsia.
 
Kuna kalenda flani ya kichina imenisaidia sana.
Nimepata kabinti kangu last week kupitia hiyo kalenda.
Pia niliitumia na kupata mtoto wangu wa kwanza wakiume.
Hebu igoogle kwanza
 
Mi mpangilio wangu nataka dume kisha jike kwanza halafu nikiongeza naweka dume tena kisha jike. Inshort nataka balance ya vidume na visichana.
 
Siku mbili hadi tatu kabla ya Ovulation. Yani kama siku unayokuwa kwenye heat (nyege kama zote) kama ni tarehe 14 katika mwezi husika basi utatakiwa kufanya mapenzi tarehe 11 ama 12.
Sijakuelewa ni tarehe 11 na 12 au siku ya 11 na 12 baada ya kumaliza period
Ukitaka dume unalenga siku ya 14
 
Mi mpangilio wangu nataka dume kisha jike kwanza halafu nikiongeza naweka dume tena kisha jike. Inshort nataka balance ya vidume na visichana.
Kwenye mambo ya uzazi hasa kubalance jinsia hakuna fomula,unaweza shangaa uzao wako wote ni vibinti tu....unadhani Obama hakupenda kupata hata kajambazi kamoja tu?
 
Kwenye mambo ya uzazi hasa kubalance jinsia hakuna fomula,unaweza shangaa uzao wako wote ni vibinti tu....unadhani Obama hakupenda kupata hata kajambazi kamoja tu?
Hahahah af pia inaendana na damu, angalia kama ukoo wenu umetawaliwa na mabinti basi ujue watoto wengi watazaliwa mademu.

Kuna theory zangu huwa naziamini japo hazijathibitishwa kisayansi.
1.Kama mwanaume kwenu una madada wengi kuliko mkeo jua probability ya kuzaa mademu wengi ni kubwa ila ikiwa una makaka wengi kuliko mkeo jua probability ya kupata vidume wengi ni kubwa zaidi.

2.Kama mwanume damu yake ni kali kuliko mke atapata madume wengi zaidi kuliko KE. Ila kama damu ya mke inanguvu zaidi basi ratio ya watoto wa kike itakuwa kubwa kuliko ME.
 
Back
Top Bottom