Msaada wa jamani kuhusu TCU

Msaada wa jamani kuhusu TCU

mamba1

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
466
Reaction score
248
Naomba msaada wanajamvi mawasiliano na TCU kwani kwenye namba zao ni moja tu inapatikana ambayo ni +255683921928 na hii iko zaidi ya busy ataukiipiga usiku iko busy au ikiita haipokelewi nyingine ni +256765027990 na +255674656237 hizi hazipatikani kabisa sasa sijui hawa jamaa wanabana matumizi kwa kumuacha mmoja tu mpokea sim naikumbukwe hawa jamaa wanahudumia tanzania nzima kwanini wanakuwa wazembe hv ? Mtjmbuaji yupo likizo nin? Naukitumia njia email hapo ndo basi tena inaweza kuchukua hata miaka 1000 kujibiwa. Naomba kama kuna namba yeyote ya mawasiliano kwa anaejua anijuze
 
Back
Top Bottom