Msaada wa iphone xs max ya USA vs iphone xs max ya China

Kwanini iphone xsmax zina kuwa na shida sana uki update,baada ya kufanya update uta kuta simu hai support camera ?
 
Utofauti upi kati ya china na marekan nafikiri ya china unaweza bypass sio ya marekan ivyo kila kitu kipo sawa ukitoa ivyo maana bidhaa unayoiona marekan ujue ndio iyo ipo hong kong ambayo iPhone anatawi lake pale
 
Kwa kweli labla tuseme hivyo ila nimecheke video za Youtube utafauti upo ila mdogo sana na kwa watumiaji kama kina sisi siyo big deal
 
Back
Top Bottom