msaada wa internet nafuu

tembizo

Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
17
Reaction score
0
jamani ninaomba msaada wa internet nafuu, kwa sababu kila siku natumia sio chini ya shiling 2000 kununua kwa voda na matumizi yangu ni karibu 500 kwa siku nashindwa kuendesha blog yangu... naomba msaada wenu
 
PM inahusika kwa hawa wadau Mwl.RCT , Paje na njunwa wamavoko.
KARIBU
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…