Msaada wa Internet kwenye Samsung D 780

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
21,416
2,000
Natumia simu taja hapo juu kwa muda mrefu sana lakini hivi karibu imeleta shida kwenye Internet,mwanzoni nilidownload opera mini niliyokuwa naitumia sana.Hivi karibuni imekuwa tabu kila ninapotaka kufungua net inaniletea ujumbe huu,www.opera mini.com/help?version=4.4 with your desktop browser/contact service provider for Internet setting.
Voda wamenitumia wap setting lakini tatizo halijakwisha mpaka sasa.
Tafadhali mwenye uelewa anisaidie maana kwa kutumia simu siwezi kbs kuingia JF nakuwa kama niko kaburini bila kujua kinachoendelea duniani.

 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,319
2,000
kwanza hakikisha tarehe ipo sawa

pili make sure unatumia internet setting na sio wap setting. Ina maana kwa voda omba vodacom internet na sio vodacom wap.

Tatu nenda kwenye internet profile angalia ipi ipo activated sometime unakuta umeomba setting za internet umetumiwa then hujazi activate
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom