msaada wa internet kwenye galaxy s4

msaada wa internet kwenye galaxy s4

Kitaeleweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
394
Reaction score
88
wakuu habari ya jioni.
s4 yangu inaniletea mawenge siku ya nne sasa internet napata kwa opera browser tu. yaani watsapp nasoma text tu image na video hazifunguki. facebook app halikadhalika inaload tu haifunguki. notification zinakuja ila hazifunguki za apps zote. kifupi haiko kama mwanzo nikadhani ni mtandao wa voda ila wengine ziko sawa tu. naombeni msaada pls nifanye nini.
 
Back
Top Bottom