barcelonista
Senior Member
- Apr 26, 2021
- 158
- 146
Ha ha .Bonyeza tell us uwaambie.
Kwa nilivoelewa ni kwamba ulijaribu "kucheat"(kwa kutumia apps flan hivi) ili upate followers wengi na likes kwenye acvount yako ya instaHabari za asubuhi wadau....Poleni na majukumu...
Nahitaji msaada wenu Account yangu ya Instagram Inaandika hivyo kama mnavyoona hapo chini..
Nifanyaje ili hili tatizo? Msaada Plz
#forgive me.
View attachment 1944195
Ama hajacheat lakini anatumia 3rd party app ambayo inatumia I'd yake kulike watuKwa nilivoelewa ni kwamba ulijaribu "kucheat"(kwa kutumia apps flan hivi) ili upate followers wengi na likes kwenye acvount yako ya insta
Ushapigwa block na makao makuuHabari za asubuhi wadau....Poleni na majukumu...
Nahitaji msaada wenu Account yangu ya Instagram Inaandika hivyo kama mnavyoona hapo chini..
Nifanyaje ili hili tatizo? Msaada Plz
#forgive me.
View attachment 1944195
So alitaka ahack " likes" na followers!?Kwa nilivoelewa ni kwamba ulijaribu "kucheat"(kwa kutumia apps flan hivi) ili upate followers wengi na likes kwenye acvount yako ya insta
Kwahyo nifanyaje mkuu? lkn mbona watu wananifollow fresh tuUshapigwa block na makao makuu
Ngoja nijaribu nioneJaribu hii njia:
Nenda kwenye App Settings halafu Clear data. Hii njia ishafanya kazi kwangu mara nyingi kwenye temporary block za likes na following.
NB: Uki-clear data itakubidi u-log in tena, pia soma vizuri sheria za Instagram ili usije kukutana na hilo tatizo tena.
Ukiclear data unaanz upya kila kitu followers itasoma 0Ng
Ngoja nijaribu nione
Subiri mda waliosema wataifungua Vuta subiraKwahyo nifanyaje mkuu? lkn mbona watu wananifollow fresh tu
Napita vp mdau naomba nielekeze nifanya hivyo sasa hivi....nielekeze plzUkiclear data unaanz upya kila kitu followers itasoma 0
nieleke jinsi ya ku clear hata nikianza upya followersSubiri mda waliosema wataifungua Vuta subira