Ok labda mie naweza nikatoa contribution kihivi taja zote ambazo ushazijua unataka kudownload then njoo na full list alafu mie nitakutaftia links ili
uweze kuzidownload.. and links zangu zitakuwa downloadable form hosting sites sio uttorent ili uweze kudownload fasta na complete movie itakuwa
from as low as
200 mb to highest
400 mb hizi zitakuwa
RMVB files ilikuweza kuwatch format ya video hii download software hii
HAPA then
utainstall na utaweza kuwatch movie za format iyo plus nitakupa na premium account ya iyo link ya host file nitakayo kupa ili uweze kudownload
very fast.. am talkin about kwa
airtel full movie
10 - 15 minutes..
tigo 5 - 10 minutes.. sasa kaz kwako naingojea iyo list.