Tiba je au ni mpaka leo tatizo bado lipoMama yangu anatatizo kama lako yeye ni upande wa kushoto. Alienda hospitali mbili tofauti zote wakamwambia anatatizo kwenye uti wa mgongo kuna mishipa fulani imepishana. Jaribu kwenda kwenye hospital kubwa wanaweza kugundua nini tatizo
Hivi mnazipendeaga nini hizo hospitali za binafsi?Umri 27 , sina ugonjwa chronic , nimeenda hospital Mico
Maybe, sijataka kuanza na haya kwanza ngoja nihangaike na menngine ila ntawachek wazee nao1. Unapresha hujafumaniwa??
2.umemlaghai mtu kitu au umegombana na mtu??
Ipo hivi unaweza kuwa unaogopa kisa hayo mawili umemrusha mtu au umefumaniwa so akilini kwako imejengeka wasiwasi hadi imeleta ganzi.
3. Kulogwa kupooo so kuwa makini
Umemrusha mtu??Maybe, sijataka kuanza na haya kwanza ngoja nihangaike na menngine ila ntawachek wazee nao
MNH naenda kitengo gani? nipe direction kidogo au naulizia NeurosurgeonHivi mnazipendeaga nini hizo hospitali za binafsi?
Sasa mkuu, nenda MNH au MLOGANZILA kaonane na Neurosurgeon.
Huko kwingine utapigwa pesa, mwisho wa siku utapewa rufaa ya kwenda hukohuko ambako ulikuwa unapakimbia.
Pole,Habarini wadau,
Kama wiki sasa nimepata hili tatizo la miguu kufa ganzi, wa kushoto ndio sanaa mpaka sasa nakuwa siu feel kwa kiasi kikubwa, nikajua itaenda ikipungua ila naona ipo same au kama inapungu basi taratibu sanaaa kiasi chja kwamba siwezi jua,
Kama kuna yoyote mwenye ujuzi au alishawahi kukumbana na hili akapona msaada wako unahitajika
Hospital nimeenda mara mbili mara ya mwisho leo, mara ya kwanza niliambiwa inaweza kuwa ni upungufu wa Vitamin b12 maana dalili pia zinaambatana na ngozi kuwa kavu sana uchovu n.k nikachoma sindano kadhaa za vitamin b12 pamoja na vidonge ila mpaka leo maendeleo ni hafifu tu, leo nikaenda kucheki sukari pamoja na syphilis kwa mujibu wa dokta maana niliambiwa asilimia kubwa itakuwa ni sukari ila majibu yote hayo yamekuwa negative
Msaada kwenye hili tafadhali maana nahisi ni nerve damage somewhere ila sijui cause ndio inaniogopesha nahofia isije ikawa permanent hii feeling which is bad sana kwa upande wangu
Check Uric Acid pia. Nakushauri uonane na madaktari kwa msaada zaidi.sukari nimecheki, au kuna vipimo zaidi vua sukari?
Nenda agha khan au muhimbili muone docta rutta utapigwa MRI scan utapata solutionUzito wa kawaida, 68 age 27 ngoma sina nimepima last week, vitamin B natumia dawa zake , kurogwa naweza check next
Kama una bima nenda directly waambie nahitaji kuonana na neurosurgeon au daktari wa mishipa ya fahamu....MNH naenda kitengo gani? nipe direction kidogo au naulizia Neurosurgeon